Burundi na Stars zatoka 1-1

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Sep 2019
Burundi na Stars zatoka 1-1

Mechi ya Mkondo wa kwanza kusaka tiketi ya kombe la Dunia kati ya wenyeji Burundi dhidi ya Tanzania Imemalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1/

Magoli yote yalifungwa wakati mchezo ukielekea ukingoni, dakika 10 za mwisho

Cedric Amissi aliitanguliza Burundi kwenye dakika ya 81 lakini Saimon Msuva akasawazisha kwenye dakika ya 85

Mechi ya marudiano itapigwa siku ya Jumapili ya September 08, kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam

Ili kuweza kusonga mbele, Stars inahitaji ushindi au hata matokeo ya suluhu ya bila kufungana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’