Wapenzi, Wanachama na washabiki wa Yanga mkoa wa Mwanza wameandaa tukio Maalum la kuichangia Yanga 'Kubwa Kuliko Kanda ya Ziwa'
Septemba 06 Wanayanga watajumuika kwenye Mkutano Maalum utakaofanyika ukumbi wa Maduhu Square
Septemba 07 asubuhi watashiriki shughuli mbalimbali za kijamii na jioni kukutana kwenye uwanja wa CCM Kirumba katika mchezo wa kirafiki kati ya Pamba Fc dhidi ya Yanga
Septemba 10 Yanga itacheza na Toto Africa katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Nyamagana
Viingilio vya michezo hiyo ni VIP Tsh 10,000/-, Mzunguuko ni Tsh 5,000/- na Tsh 3,000/-
ADVERTISE HERE