Meneja wa Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro' anachukua mafunzo maalum ya ukufunzi wa mpira wa miguu
Kwa muda sasa, Cannavaro haonekani katika benchi la ufundi la timu hiyo
Lakini imefahamika Nadir anahudhuria mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu
Kwa sasa Nadir yuko na timu ya Taifa akiwa Meneja wa timu hiyo
Stars imeondoka leo kwenda Burundi kwa ajili ya mchezo wa kusaka tiketi ya kombe la dunia utakaopigwa kesho huko Burundi
ADVERTISE HERE