Oscar Joshua afunga ndoa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Oct 2017
Oscar Joshua afunga ndoa
Oscar Joshua ni moja ya majembe yaliyowahi kuitumikia Yanga kwa mafanikio. Amekuwemo kwenye kikosi cha Yanga kilichotwaa ubingwa wa VPL kwa misimu mitatu mfululizo.

Joshua jana amefunga ndoa na mkewe, Monica katika kanisa la TAG jijini Mwanza.

Oscar amefunga ndoa hiyo na mchumba wake wa siku nyingi, ambaye pia ni mama wa watoto wake wawili.

Baada ya ndoa hiyo jijini Mwanza, Oscar anatarajia kufanya sherehe nyingine jijini Dar es Salaam.

"Nashukuru nimekamilisha suala la ndoa hii na sasa narudi kufanya mambo mengine hasa uwanjani ambako nilisimama kwa muda,"alisema Oscar.

HONGERA OSCAR JOSHUA
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’