Chikupe muafaka bado

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Aug 2019
Chikupe muafaka bado

Beki Andrew Vicent Chikupe bado hajafikia muafaka na uongozi wa Yanga hivyo kumfanya aendelee kuwa nje ya kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria

Wakati Kelvin Yondani na Juma Abdul wakiwa wamerejea, Chikupe bado ameweka mgomo akishinikiza alipwe fedha zake zote

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema bado wanajadiliana na mchezaji huyo ili aweze kuungana na wenzake

Hata hivyo kuendelea kuwa nje ya kikosi, huenda kukamuathiri mwenyewe kwani kutofanya mazoezi na wenzie ni tatizo

Kwa sasa safu ya ulinzi ya Yanga haionekani kuwa na changamoto hasa baada ya kurejea Yondani

Lakini hakuna shaka bado beki huyo kisiki anahitajika kwenye kikosi cha Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’