Habari njema kwa Wanayanga, Antonio Gugaz 'mtembezi' ni miongoni mwa waliojitokeza kuwania nafasi za kazi zilizotangazwa Yanga
Nugaz ni mdau mkubwa wa klabu ya Yanga na amekuwa akishiriki matukio mbalimbali kama mshereheshaji
Wengi wanaamini anafaa kuwa Afisa Habari wa Yanga, pengine hilo linaweza kutimia
ADVERTISE HERE