Hii ni fursa kwa Wanajangwani ambao watapenda kuwa wauzaji rasmi wa bidhaa mbalimbali za klabu ya Yanga, zikiwemo jezi
Kampuni ya GSM inatafuta Mawakala wa kuuza jezi za klabu ya Yanga
Tembelea ofisi au kurasa zao za mitandao ya kijamii kupata maelekezo zaidi
ADVERTISE HERE