Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeanza mazoezi leo ya maandalizi ya mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar dhidi ya Burundi
Mchezo wa Kwanza utachezwa Burundi Septemba 4 na marudiano Uwanja wa Taifa Septemba 8,2019
Mohammed Issa 'Banka', Metacha Mnata, Kevin Yondani na Abdulaziz Makame, ni miongoni mwa wachezaji walioripoti kambini

Yanga italazimika kujiandaa na mchezo dhidi ya ZESCO bila ya nyota hao ambao watarejea kikosini baada ya Septemba 08
ADVERTISE HERE