Yanga yapania kuanza msimu kibabe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Aug 2019
Yanga yapania kuanza msimu kibabe

Mabingwa wa kihistoria Tanzania, Yanga leo mishale ya saa 10 jioni watashuka kwenye uwanja wa Uhuru kuikabili Ruvu Shooting ukiwa ni mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom msimu huu

Baada ya kufanikiwa kutinga raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa, Yanga imejipania kupata ushindi wa kwanza leo kwenye ligi

Umuhimu wa mchezo huo ulizungumzwa na kocha Mwinyi Zahera jana ambapo aliwataka wachezaji wake wahakikishe wanaondoka na alama zote tatu

Viingilio vya mchezo huo VIP ni Tsh 15,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Kutokana na umuhimu wake, Zahera hatarajiwi kufanya mabadiliko makubwa ya kikosi ambacho kilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Township Rollers mwishoni mwa wiki

Ni wachezaji wawili pekee, Mohammed Issa 'Banka' na Paulo Godfrey 'Boxer' ambao uongozi wa timu hiyo umethibitisha hawatacheza leo kutokana na majeruhi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
49m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’