Leo viwanja saba viliwaka moto ambapo michezo ya mzunguuko wa tano wa ligi kuu ya Vodacom ilikuwa ikipigwa.
Ushindani unaonekana kuwa mkubwa kwani katika michezo hiyo, sita kati ya saba imeshindwa kutoa mshindi.
Ni Ndanda FC pekee iliyofanikiwa kuilaza Lipuli FC mabao 2-1.

ADVERTISE HERE