Lamine Moro, hili ni jembe la kazi kwelikweli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Aug 2019
Lamine Moro, hili ni jembe la kazi kwelikweli

Beki Mghana Lamine Moro alijihakikishia namba mapema sana kwenye kikosi cha kwanza cha kocha Mwinyi Zahera

Zahera alimleta Lamine sio kwa bahati mbaya, bali alikuwa akimfahamu vizuri kwani alimfundisha kwa muda mfupi katika klabu ya Buildcon ya Zambia

Mapema mwaka huu alikuja kufanya majaribio kunako klabu ya Simba na baadae akaondoka baada ya kushindwa kufikia makubaliano nao, ingawa mashabiki wa Simba waliaminishwa kuwa hakufuzu majaribio

Mpaka sasa hakuna mwenye mashaka na ubora wake, ni beki anayefahamu vyema majukumu yake

Wakati wote uwanjani yuko sehemu sahihi akitimiza wajibu wake

Ni beki kiongozi ambaye hachoki kuwahamasisha wenzake kusaka matokeo. Jana alionyesha mfano

Aliokoa moja ya mashambulizi hatari la Rollers ambalo lilikuwa likielekea kimiani

Sidhani kwa Tanzania kama kuna mshambuliaji anayeweza kumsumbua mwamba huyu mrefu mwenye mwili wa kazi na nguvu za kupambana

Ukuta anaotengeneza na Yondani, ni ukuta wa chuma...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’