Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) limezipongeza Yanga na Azam Fc kwa kufanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya CAF baada ya kushinda michezo yao leo
Wakati Yanga ikiichapa Township Rollers bao 1-0 ugenini, Azam Fc iliifumua Fasil Kemema mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi

ADVERTISE HERE