Maboresho ya kanuni za ligi msimu wa 2019/20

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Aug 2019
Maboresho ya kanuni za ligi msimu wa 2019/20

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na Bodi ya Ligi, wameboresha kanuni za ligi ambazo zitatumika kuanzia msimu unaoanza mwishoni mwa wiki

Maboresho muhimu;

1. Wachezaji wa kigeni wanaendelea kubaki 10 na wote wanaweza kutumika kwenye mchezo mmoja. Sharti mchezaji wa kigeni anayesajiliwa awe anacheza timu ya Taifa au Ligi Kuu ya nchi  husika. Wanaotoka Ulaya na Amerika angalau wawe wanatoka Ligi daraja la tatu au inayolingana na hiyo

2. Timu za Ligi Kuu zitapungua hadi 18 msimu ujao. Timu nne msimu huu (2019/20) zitashuka daraja moja kwa moja yaani aliyeshika nafasi ya 17/18/19/20 anashuka moja kwa moja kwenda ligi daraja la kwanza huku aliyeshika nafasi ya 15/16 atacheza Play Off na timu za ligi daraja la kwanza.

Msimu wa 2020/21 ligi kuu itashirikisha timu 18 ikiwa timu 14 zilizobaki ligi kuu, timu 2 ambazo zimepanda daraja moja kwa moja kutoka ligi daraja la kwanza na timu 2 washindi wa jumla wa Play Off ya timu zilizoshika nafasi ya 15/16 ligi kuu na washindi wa wa jumla wa Play Off ya ligi daraja la kwanza.

3. Kuanzia msimu ujao makocha wa timu za TPL watapaswa kuwa na leseni A ya CAF au inayolingana na hiyo

4. Kocha akionyeshwa kadi nyekundu atakosa mechi tatu na hataruhusiwa kuingia hata kwenye vyumba vya kubadilishia nguo pia atatozwa faini ya laki tano

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
32m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
57m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’