Bodi ya ligi kuu imesema hakuna mabadiliko yatafanywa kwa ratiba ya ligi kuu inayotarajiwa kuanza keshokutwa August 24
Mtendaji Mkuu wa Bodi hiyo Boniface Wambura amesema mchezo wa Yanga dhidi ya Ruvu Shooting utapigwa August 28, hakutakuwa na mabadiliko yoyote
Awali uongozi wa Yanga uliomba mchezo huo usogezwe mbele kutokana na kukabiliwa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers August 24 nchini Botswana
Hii hapa Ratiba ya michezo ya raundi ya kwanza;

ADVERTISE HERE