Uwanja wa Kaunda waanza kukarabatiwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Sep 2017
Uwanja wa Kaunda waanza kukarabatiwa
Uongozi wa Yanga leo umetoa taarifa kuwa uwanja wa Kaunda unaomilikiwa na klabu hiyo umeanza kufanyiwa ukarabati.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema zoezi la ukarabati wa uwanja huo likikamilika, Yanga itaweza kuutumia kwa ajili ya mazoezi.

Aidha Ten amesema mahitaji ya vifusi vya mchanga ni makubwa na hivyo amewataka wapenzi na wanachama wa Yanga wanaoweza kusaidia mchanga kufika makao makuu ya klabu.

Pia amewakaribisha Jangwani wale wanaopenda kuona maendeleo ya ukarabati wa uwanja huo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’