Kiungo mshambuliaji wa Yanga Juma Mahadhi bado hajafanikiwa kurejea uwanjani kutokana na majeraha yanayomsumbua
Mahadhi amekuwa nje kwa mwaka mzima sasa akiuguza majeraha ya goti aliyopata mwaka jana kwenye michuano ya kombe la Shirikisho
Kiungo huyo bado ana mkataba na Yanga lakini huenda akahitaji muda zaidi kuweza kurejea dimbani

ADVERTISE HERE