Mlinda lango wa Yanga Farouq Shikalo ambaye msimu uliopita aliitumikia Bandari Fc, ameshinda tuzo za kipa bora wa ligi kuu ya Kenya kwa msimu wa pili mfululizo
Hafla ya kutoa tuzo za KPL zilifanyika jana huko Kenya
Shikalo alijiunga na Yanga mwezi uliopita akitokea Bandari Fc ambayo aliitumikia kwa misimu mitatu
ADVERTISE HERE