Mabeki kelvin Yondani, Lamine Moro na Ally Mtoni ni miongoni mwa wachezaji waliopaa kuelekea Afrika Kusini ambako baadae wataelekea Botswana kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers
Mabeki hawa 'visiki' wamebeba matumaini ya Wanayanga kuelekea mchezo huo wa marudiano ambao Yanga inahitaji kushinda ili kusonga mbele raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa
ADVERTISE HERE