Tshishimbi ni nahodha wa mfano Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Aug 2019
Tshishimbi ni nahodha wa mfano Yanga

Kiungo Mcongomani Papy Kabamba Tshishimbi ameendelea kudhihirisha kuwa benchi la ufundi la Yanga lilifanya uamuzi sahihi kumkabidhi kitambaa cha unahodha

Tshishimbi amekuwa mchezaji wa mfano kila Yanga inaposhuka dimbani

Anajituma na kuhamasha wenzake kuipigania timu ili iweze kupata matokeo

Ni mchezaji anafanya sana kazi dimbani pengine kuliko wengine wote

Yuko kila mahali, jana ni bao lake la dakika ya 84 lililoiwezesha Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya AFC Leopards kwenye mchezo wa kirafiki

Nje ya uwanja Tshishimbi ni mchezaji mwenye nidhamu sana na haishangazi kuona anakubalika na kila mchezaji ndani ya kikosi cha Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’