Kamusoko hatihati kuivaa Mtibwa Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Sep 2017
Kamusoko hatihati kuivaa Mtibwa Sugar
Daktari wa Yanga Dr Edward Bavu amethibitisha kiungo Thabani Kamusoko amepata majeraha ya goti jana na alishindwa kumaliza mazoezi ya asubuhi.

Ripoti ya iwapo mchezaji huyo atacheza dhidi ya Mtibwa au la itatolewa baada ya vipimo. Amekiri upo uwezekano mkubwa Kamusoko akakosa mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar.

Wachezaji wa Yanga wamekuwa wakipata majeraha ya mara kwa mara Dk Bavu akieleza kuwa moja ya sababu ni 'pitch' mbovu ya uwanja wa Uhuru.

Kukosekana kwa Tshishimbi na Kamusoko kunaweza kuiathiri Yanga kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa kwani viungo hao wanaonekana kukosa mbadala nje ya kikosi cha Lwandamina
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
58m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’