Msafara wa kikosi cha Yanga umewasili salama mkoani Arusha tayari kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya AFC Leoprads
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Idadi kubwa ya mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuwapokea mabingwa hao wa kihistoria wakati wakiingia jijini humo
ADVERTISE HERE