Raphael Daudi ndio mchezaji bora wangu - Ajib

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Sep 2017
Raphael Daudi ndio mchezaji bora wangu - Ajib
Mshambuliaji wa Yanga Ibrahim Ajib ambaye tayari ameanza kuzoea maisha ya kuwa 'Wa Kimataifa' amemwagia sifa kiungo Raphael Daudi Lothi na kusema ndiye aliyeshikilia ubingwa wa Yanga.

Ajib amefunguka kuwa Lothi ni fundi asiye na mashaka. Anaamini kama hatapata majeraha ya mara kwa mara ataibeba Yanga.

"Kwangu nimekuwa nikikoshwa na kiwango cha kiungo wetu, Raphael Daud, katika kila mchezo wetu na hata kwenye mechi iliyopita mbele ya Ndanda FC, alionyesha uwezo mkubwa na wa hali ya juu," amesema.

"Nadhani kwa kupitia uwezo wake itakuwa rahisi sana kwetu kushinda kwenye kila mchezo na pia tunaweza kutwaa ubingwa kama atadumu muda mrefu bila kuumia."

Lothi amesajiliwa na Yanga akitokea Mbeya City. Aliuanza msimu taratibu lakini sasa ameanza kuonyesha makali yake baada ya kuzoeana na wenzake na kumuelewa kocha Geogre Lwandamina.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’