Msafara wa kikosi cha Yanga umewasili Moshi kuanza maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Towship Rollers
Kama ilivyo kawaida kwa timu hiyo ya Wananchi, mashabiki wengi wamejitokeza kuwapokea mabingwa hao wa kihistoria
Yanga itakuwa Moshi kwa siku tatu ambao August 16 itachuana na Polisi Tanzania kwenye mchezo wa kirafiki
Baada ya mchezo huo itaelekea mkoani Arusha
Β
ADVERTISE HERE