Kikosi cha Yanga mchana wa leo kitapokelewa mashabiki wa timu hiyo wa mkoani Kilimanjaro tayari kuanza mawindo ya Township Rollers
Yanga itakuwa Moshi mpaka August 16 siku ambayo itacheza na Polisi Tanzania katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa uwanja wa Chuo cha Ushirika
Viingilio vya mchezo ni VIP Tsh 30,000/-, Jukwaani Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Baada ya mchezo huo, Yanga itaelekea mkoani Arusha ambako August 18 itacheza na AFC Leopards
ADVERTISE HERE