Msafara wa wachezaji na benchi la ufundi la Yanga umeondoka mapema leo Jumanne, August 13 kuelekea mikoa ya Kilimanjaro/Arusha kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers
Yanga inatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki kwenye mikoa hiyo
August 16 itacheza na Polisi Tanzania mkoani Kilimanjaro kisha kuelekea Arusha ambako itacheza mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya AFC Leopards
Mchezo dhidi ya Township Rollers utapigwa August 24 nchini Botswana
ADVERTISE HERE