Buswita yuko tayari kuivaa Mtibwa Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Sep 2017
Buswita yuko tayari kuivaa Mtibwa Sugar
Tangu TFF itangaze kumfungia na baadae kumtoa kifungo kiungo aliyesajiliwa na Yanga kutoka klabu ya Mbao FC, Pius Buswita, hajacheza mchezo wowote.

TFF iliitaka Yanga iilipe Simba Mil 10, pesa ambazo Buswita anadaiwa kuchukua kisha kuikacha Simba na kutua Yanga.

Yanga imemlipia Buswita fedha hizo na sasa yuko tayari kurejea dimbani.

Kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar keshokutwa Jumamosi Yanga huenda ikamtumia sambamba na Kamusoko pamoja na Raphael Daudi.

Katika mazoezi ya kikosi cha Yanga yanayofanyika dimba la Uhuru, kwa siku mbili Buswita amekuwa akichezeshwa kama kiungo mshambuliaji.

Tshishimbi hatacheza mchezo huo kwani anatumikia adhabu ya kukosa mchezo mmoja baada ya kufikisha kadi tatu za njano.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’