Balama, nyota inayong'aa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Aug 2019
Balama, nyota inayong'aa Yanga

Ukizungumzia wachezaji wapya waliotua Yanga ambao wanafanya vizuri kikosini, huwezi kuacha kutaja jina la kiungo Mapinduzi Balama

Balama amejihakikishia namba kwenye kikosi cha kocha Mwinyi Zahera, hakika anaifanya kazi yake vyema

Jana kwenye mchezo dhidi ya Township Rollers Balama aliendeleza kile ambacho amekuwa akikifanya tangu alipotua Jangwani

Kwa mwenendo alioanza nao, kiungo huyo anatabiriwa atafanya mambo makubwa msimu huu

Balama alitua Yanga kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea klabu ya Alliance Fc baada ya kupendekezwa na Zahera

Amekuwa na mwanzo mzuri, akiwa mmoja wa wachezaji wa kutegemewa kwenye kikosi cha Zahera

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’