Yanga haina bahati na uwanja wa Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Aug 2019
Yanga haina bahati na uwanja wa Taifa

Jana Yanga ililazimishwa sare ya bao 1-1 na Township Rollers kwenye mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa hatua ya awali

Matokeo hayo yamewapa mtihani wa kusaka ushindi ugenini wiki mbili zijazo

Kwa mara nyingine, Mabingwa hao wa kihistoria, wameshindwa kuutumia vyema uwanja wa nyumbani

Tangu mwaka 2016, Yanga imeshinda michezo miwili tu ya ligi ya mabingwa iliyopigwa uwanja wa Taifa dhidi ya De Joachim (2016) na St Louis (2018) kati ya michezo yote nane iliyochezwa

Ilipoteza mchezo mmoja dhidi ya Township Rollers mwaka jana na kutoka sare mingine yote

Rekodi nzuri ugenini

Licha ya kutoshinda nyumbani, Yanga pia imekuwa na rekodi ya kufanya vizuri inapokuwa ugenini

Tangu mwaka 2016 Yanga imepoteza mchezo mmoja tu ugenini dhidi ya Al Ahly, imeshinda mitatu na kutoka sare mitatu

Hivyo ni dhahiri Yanga bado ina nafasi ya kufanya vizuri kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Rollers

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
59m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’