Yanga kujichimbia Kilimanjaro kuiwinda Rollers

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Aug 2019
Yanga kujichimbia Kilimanjaro kuiwinda Rollers

Baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Township Rollers, kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuelekea mkoani Kilimanjaro kujiandaa na mchezo wa marudiano utakaopigwa huko Botswana kati ya August 23-25

Yanga inatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki kabla ya mchezo huo wa marudiano

Ijumaa ya Agust 16, Yanga itachuana na Polisi Tanzania, mchezo ukitarajiwa kupigwa mkoani Kilimanjaro

August 18 Yanga itaelekea mkoani Arusha ambako itacheza mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya AFC Leopards

Kocha Mwinyi Zahera amesema michezo hiyo itawasaidia kuwa tayari kuikabili Rollers nchini Botswana

Yanga inahitaji kushinda mchezo huo wa ugenini au hata sare ya kuanzia mabao mawili itawapeleka raundi ya kwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
39m ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
5h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’