Ushindi ni wetu leo - Chikupe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Aug 2019
Ushindi ni wetu leo - Chikupe

Beki Andrew Vicent Chikupe amewataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa leo kuiunga mkono timu yao itakaposhuka dimbani kucheza na Township Rollers

Licha ya kutokuwa sehemu ya kikosi kitakachoshuka dimbani leo, Chikupe amesema ushindi ni lazima kwa Yanga leo

"Kila la kheri familia, naamini tutapata matokeo mazuri...Uwanja wetu na mashabiki wetu....Watu wa Yanga muda wenu huu kuisapoti timu," ameandika Chikupe kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram

"Uwanja wa Taifa hatoki mtu, Go goo yanga African"

Chikupe na Juma Abdul hawakuingia kwenye kambi ya maandalizi ya msimu mpya kutokana na sintofahamu iliyojitokeza baina yao na uongozi

Hata hivyo tofauti hiyo imemalizwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
46m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’