Wakiwa katika hoteli waliyofikia jana, timu ya Township Rollers usiku iliushuhudia mchezo wa kirafiki kati ya Malindi Fc dhidi ya Yanga uliopigwa uwanja wa Amaan
Hata hivyo kocha Mwinyi Zahera alifahamu hilo ndio maana jana kikosi alichotumia wachezaji wengi hawatakuwepo kwenye mchezo wa kesho


Jana Yanga ilikuwa na wachezaji wanne tu wa akiba huku nyota wengine wakiondolewa kikosini tofauti na mchezo wa juzi ambao Yanga ilitumia vikosi viwili
Mpaka hapo Zahera amefanikiwa kuwavuruga wapinzani wake
Wanaweza kudhani ile Yanga iliyocheza na Malindi jana ndio watacheza nayo kesho!
ADVERTISE HERE