FT : Malindi Fc 1-1 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Aug 2019
FT : Malindi Fc 1-1 Yanga

Mchezo wa kirafiki kati ya Malindi Fc dhidi ya Yanga, umemalizika kwa timu hizo kugawana pointi baada ya kutoka sare ya bao 1-1

Huo ulikuwa mchezo wa kukamilisha ratiba ya maandalizi ya kikosi cha Yanga visiwani Zanzibar

Deus Kaseke aliifungia Yanga bao la kuongoza kwenye dakika ya 16 akimalizia pasi murua ya David Molinga

Malindi Fc walisawazisha bao hilo wakati mchezo ukielekea ukingoni

Kocha Mwinyi Zahera alifanya mabadiliko makubwa ya kikosi chake ambapo aliwapumzisha wachezaji wote walioanza mchezo wa jana dhidi ya Mlandege Fc

Kikosi kilichocheza leo kiliundwa na wachezaji ambao hawakupata nafasi jana na baadhi ambao walicheza kipindi kimoja

Yanga inarejea jijini Dar es salaam kesho Ijumaa tayari kwa mchezo dhidi ya Township Rollers ambao utapigwa Jumamosi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’