Usiku wa jana Yanga ilishuka uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlendege Fc
Mchezo huo ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 4-1
Washambuliaji Patrick Sibomana, Juma Balinya, Sadney Urikhob na Mrisho Ngasa ndio walifunga mabao ya Yanga
Leo itashuka tena dimbani kuchuana na Malindi Fc
Matukio mbalimbali ya mchezo huo;







ADVERTISE HERE