Yondani alamba laki tano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Sep 2017
Yondani alamba laki tano
Wanachama wa Yanga SC kutoka Group la WhatsApp, Yanga 4 Life leo wametoa kiasi cha TSh. 500,000/= Kwa Kelvin Yondani baada ya kuibuka mchezaji bora kwenye mchezo dhidi ya Ndanda FC.

Fedha hizo zimekabidhiwa kwake na mkali wa filamu za kibongo Vicent Kigosi 'Ray' baada ya mazoezi ya asubuhi kwenye uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam.

Ni jambo la kutia moyo kuwaona wadau wa Yanga wakijitolea kuwapa motisha wachezaji ili wafanye vizuri zaidi.

Hongera Ray pamoja na wanafamilia wenzako mlianzisha utaratibu huu ambao unapaswa kuendelezwa na makundi yote.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’