Ninja kuelekea Marekani leo kujiunga na LA Galaxy

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Aug 2019
Ninja kuelekea Marekani leo kujiunga na LA Galaxy

Mlinzi wa zamani wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' anatarajiwa kuondoka leo kuelekea nchini Marekani kujiunga na klabu ya LA Galaxy

Ninja ataichezea LA Galaxy kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea klabu ya MFK Karvina ya Jamhuri ya Czech ambayo ndio imemsajili

LA Galaxy inashiriki ligi kuu ya Marekani na katika klabu hiyo ataungana na mkongwe Zlatan Ibrahimovic ambaye ndiye nahodha wao

Ninja atakuwa na uhakika wa kuweka kibindoni mshahara wa zaidi ya Tsh Milioni 40 kwa mwezi!

Tunamtakia kila la kheri katika klabu yake mpya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
33m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’