Mchezo wa hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers, utapigwa Jumamosi August 10 kuanzia saa 12 jioni
Hii itakuwa mara ya pili kwa Yanga kucheza na Rollers katika uwanja wa Taifa wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa kwanza mwaka jana
Kiingilio cha chini ni Tsh 5,000/- tu Mzunguuko
Tiketi za VIP A ni Tsh 50,000/- wakati VIP B na C ni Tsh 15,000/-
ADVERTISE HERE