Zahera ataka mechi za kujipima kabla ya kuivaa Township Rollers

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Aug 2019
Zahera ataka mechi za kujipima kabla ya kuivaa Township Rollers

Jana baada ya mchezo dhidi ya Kariobangi Sharks, kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera alisema kikosi chake kinahitaji kucheza angalau mchezo mmoja wa kirafiki kabla ya kuikabili Township Rollers kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa hatua ya awali August 10

Zahera alisema mchezo dhidi ya Sharks ulikuwa wa kwanza mkubwa na wamecheza wakitoka kwenye mazoezi magumu hivyo wanahitaji kucheza mchezo mwingine kabla ya Jumamosi

Kikosi cha Yanga huenda kikaelekea visiwani Zanzibar ambapo kitacheza na Malindi Fc siku ya Jumanne

Aidha mabingwa hao wa kihistoria watacheza michezo mingine ya kirafiki baada ya mechi dhidi ya Rollers ili kujiweka sawa kwa ajili ya mchezo wa marudiano utakaopigwa kati August 23-25 nchini Botswana

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
12h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
15h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
16h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
17h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’