Uongozi w aklabu ya Yanga leo Jumamosi, August 03 2019 utazungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya klabu hiyo
Mkutano huo utakaoanza saa tano asubuhi utakuwa mahsusi kwa ajili ya tukio la kihistoria la kilele cha wiki ya Mwananchi litakalofanyika uwanja wa Taifa kesho Jumapili

ADVERTISE HERE