Hukumu ya kesi ya Manji kusomwa Oktoba 06

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Sep 2017
Hukumu ya kesi ya Manji kusomwa Oktoba 06
Mahakama ya Hakimu ya Mkazi Kisutu, imepanga Oktoba 6, mwaka huu kutoa hukumu katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Mfanyabiashara Yusuf Manji(41).

Uamuzi huo umetolewa leo na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha, baada ya wakili wa utetezi Hajra Mungula kusema kuwa ameshafunga ushahidi wa mashahidi saba

Mashahidi watatu wa upande wa mashtaka wametoa ushahidi wao dhidi ya mshtakiwa.

Daktari Mfawidhi wa Gereza la Keko, Inspekta Eliud Mwakawanga ameileza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jinsi maisha ya mfanyabiashara Yusufu Manji yalivyo kuwa gerezani kwamba alikuwa akitumia vidonge kati ya 25 mpaka 30 kwasiku.

Ameeleza kwamba walikuwa wakimpatia dawa hizo alipokuwa akisikia maumivu hasa ya mgongo na kwamba kuna kipindi alikuwa anaamka akiwa na hali ya kutetemeka au kuchanganyikiwa.

Ameeleza kuwa Julai 6, 2017 walimpokea Manji akitokea Hospitali ya Muhimbili Kitengo cha Moyo cha JKCI ambapo waliambiwa ni mshtakiwa lakini ni mgonjwa.

"Nilienda kumuona, tukazungumza naye na tulikaa naye gerezani hadi alipokuja kuachiwa"

MCL
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’