Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kuwa tayari tiketi za Wiki ya Mwananchi zimeanza kuuzwa kupitia Mawakala wa Selcom Tanzania nzima
Unaweza kununua tiketi kupitia kadi (kwa walionazo) au kupitia kwa Mawakala
Jijini Dar es salaam tiketi zitapatikana Makao Makuu ya klabu ya Yanga na pia kutakuwa na Mawakala maeneo tofauti uwanja wa Uhuru
Ukishapata tiketi hakikisha unaitunza vyema, QR code isifutike USIWEKE SEHEMU YENYE UNYEVU NYEVU

ADVERTISE HERE