Kikosi cha Yanga leo kinafanya maandalizi ya mwisho mkoani Morogoro kabla ya kurejea jijini Dar es salaam tayari kwa kilele cha siku ya wiki ya Mwananchi
Yanga inatarajiwa kurejea mjini kesho kukamilisha maandalizi kabla ya kuivaa Kariobangi Sharks, Jumapili August 04 2019








ADVERTISE HERE