Yanga inaendelea na kampeni ya kukusanya kijiji kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi, August 04
Baada ya kumaliza zoezi hilo mkoa wa Morogoro, leo timu ya uhamasishaji iko Mlandizi, viwanja vya wazi
Ratiba ya zoezi hilo inaonyesha, kesho August 02 watakuwa Kibaha Maili Moja ambapo msafara utapokelewa Kibaha kwa Mathias kupitia Picha ya Ndege hadi Stand ya Mabasi
Zoezi hilo litakamilishwa Jumamosi, jijini Dar es salaam, Kigamboni Uwanja wa Swala Tuamoyo
ADVERTISE HERE