Usiku wa kuamkia leo Yanga imeshusha mshambuliaji mwingine ambaye anatajwa atachukua nafasi ya mlinda lango Klaus Kindoki
Uongozi wa Yanga umethibitisha kupokelewa kwa mshambuliaji huyo lakini haukuweka wazi taarifa zake kamili
Juzi kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera alidokeza kuwa jana wangempokea mshambuliaji mwingine ambaye atafunga usajili wa kikosi chake
ADVERTISE HERE