Yanga yaichapa Mawenzi Market 1-0

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2019
Yanga yaichapa Mawenzi Market 1-0

Yanga imeendeleza rekodi ya kugawa vipigo kwenye michezo ya kirafiki baada ya leo kuichapa Mawenzi Market bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Jamhuri

Bao pekee la Yanga lilifungwa na Issa Bigirimana kwenye dakika ya 65

Mchezo huo ulikuwa sehemu ya tamasha la kidini lililoandaliwa na Faith Baptist Church ya mkoani Morogoro

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera alishuhudia mchezo huo akiwa Jukwaani, leo akiwa ndio kwanza amewasili kambini mkoani Morogoro

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’