Viongozi Yanga wazuru kaburi la Karume

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2019
Viongozi Yanga wazuru kaburi la Karume

Msafara wa viongozi wa Yanga uko visiwani Zanzibar ambapo leo watazindua rasmi wiki ya Mwananchi visiwani humo

Mapema leo viongozi wa timu hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla pamoja na wadau wa klabu ya Yanga visiwani Zanzibar, walizuru kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Abeid Aman Karume lililopo kando ya Ofisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) eneo la Kisiwandui Zanzibar

Viongozi hao pia walipata nafasi ya kutembelea mahali alipopigwa risasi

Tukio hilo lilitanguliwa na matembezi ya hisani yaliyofanywa kumuenzi Mzee Karume ambaye aliacha alama katika soka la Tanzania hasa kwa mchango wake katika vilabu vya Yanga na Simba

Uzinduzi rasmi wa wiki ya Mwananchi umefanyika kwenye uwanja wa Amani, ukumbi wa Judo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’