Kikosi cha Yanga leo kitashuka uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kucheza na timu ya Mawenzi Market inayoshiriki ligi daraja la kwanza
Mchezo huo unaotarajiwa kupigwa saa kumi jioni, hauna kiingilio
Tamasha hilo limeandaliwa na Faith Baptist Church mkoani Morogoro
ADVERTISE HERE