Maadhimisho ya wiki ya Mwananchi kuanzia Jangwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jul 2019
Maadhimisho ya wiki ya Mwananchi kuanzia Jangwani

Uongozi wa Yanga umewataka wapenzi, wanachama na mashabiki wake kesho asubuhi Jumamosi, Julai 27 kujitokeza kwa wingi Makao Makuu ya klabu, Jangwani jijini Dar es salaam kuanza maadhimisho ya wiki ya Mwananchi

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga Ijumaa jioni imesema, Wanajangwani watashiriki shughuli mbalimbali za kijamii

Baadae wataelekea Mbagala Zakheim ambako shangwe na burudani zitahamishiwa huko

Matukio yote yatarushwa mbashara na Azam TV

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’