Uzinduzi wa wiki ya Mwananchi Zanzibar, hakuna kiingilio

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jul 2019
Uzinduzi wa wiki ya Mwananchi Zanzibar, hakuna kiingilio

Uzinduzi wa wiki ya Mwananchi utafanyika keshokutwa Jumapili Julai 28 2019 kwenye uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar

Tukio hilo la kihistoria litafanyika kuanzia saa mbili asubuhi kwenye ukumbi wa Judo ambao uko ndani ya uwanja wa Amaan

Hakutakuwa na kiingilio

"Ni zaidi ya soka linalopigwa uwanjani, ama kelele za mavuvuzela, vigoma, na shangwe zote zinazosikika jukwaani.

Hii inakwenda mbali zaidi kwa kuhusisha shughuli za kijamii, kuhubiri amani na upendo, uzalendo na kuenzi mazuri ya nchi yetu.

Ndio maana tunakwenda Zanzibar ishara ya kuzidi kusherehekea na kuuenzi Muungano, kutembelea makao ya milele ya Abeid Karume aliye baba wa Mapinduzi na mpira wa nchi yetu (yeye ndiye muasisi wetu).

Zaidi ya yote, kukutana na Wanayanga wenzetu"

Funga Kazi KusanyaKijiji: Tukutane uwanja wa Amani.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’