Yanga imeamua, unakosaje uwanja wa Taifa August 04?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jul 2019
Yanga imeamua, unakosaje uwanja wa Taifa August 04?

Keshokutwa Jumamosi, Julai 27 2019 shamrashamra za wiki ya Mwananchi zinaanza rasmi jijini Dar es salaam mapema tu na baadae kwenda kuzinduliwa kwenye uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar

August 04 ndiyo sikukuu ya maadhimisho hayo yatakayochukua wiki nzima kwa tukio kubwa la kihistoria kufanyika uwanja wa Taifa

Siku hiyo Yanga itacheza na K-Sharks, mabingwa wa michuano ya SportPesa ambao hivi karibuni waliilazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Everton inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza

Viingilio vya tukio hilo tayari vimewekwa hadharani na sasa zoezi la kukusanya kijiji limeanza rasmi

Kampuni ya GSM imeandaa gari hili kwa ajili ya kuhamasisha Wananchi kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa August 04

Uhamasishaji utaanzia jijini Dar es salaam kisha kuelekea mikoa ya Pwani na Morogoro na kwingine

Wasanii mbalimbali watashiriki kwenye kampeni hiyo

Gari hili pia litakuwa na 'TV' kubwa ambayo itakuwa ikionyesha matukio mbalimbali yanayoihusu klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’