Shamrashamra za wiki ya Mwananchi kuanza Julai 28

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jul 2019
Shamrashamra za wiki ya Mwananchi kuanza Julai 28

Wiki ya Mwananchi inatarajiwa kuanza rasmi Jumapili ya Julai 28 2019

Katika wiki hiyo ambayo itahitimishwa August 04, Wanayanga watashiriki kwenye shughuli mbalimbali za kijamii katika maeneo yanayo wazunguuka

Yanga ni timu ya Mwananchi,  kuthibitisha hilo, Wanayanga watatumia wiki nzima kufanya mambo mema kwenye jamii zao

Watajitolea kufanya shughuli mbalimbali za kijamii kama kufanya usafi,  kuchangia damu mahospitalini,  kusaidia jamii zenye mahitaji muhimu n.k

Zoezi hilo litahitimishwa uwanja wa Taifa August 04 kwa mchezo wa Kimataifa wa kirafiki kupigwa

Siku hiyo burudani mbalimbali zitakuwepo uwanja wa Taifa lakini kubwa zaidi ni utambulisho wa kikosi cha Yanga pamoja na utambulisho wa jezi za msimu wa 2019/20

Hili litakuwa tukio la kihistoria, kwa hakika inafaa kila Mwanayanga akajiandaa kuwa sehemu ya historia hiyo itakayoandikwa uwanja wa Taifa August 04

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’